Haja

Haja 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数4
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Mwenzako nishaanza mwanzo Sikufichi hope hata kwa macho Simu ishaisha bundle Yanini vijembe mipasho Ata mwenzako sifikirii bado Matapishi sirudii Naona unazuga zuga bado Kumi na nane siingii Hasira hasara Kupenda sana ukaninyanyapaa Nami nikaona haina maana Nikajitoa unataka rudiana Mbona kwangu mi? Haina haja, haina haja Aah nishamaliza, haina haja Mbona kwangu basi, haina haja Nilikupa unachohitaji Mwenyewe nikajinyima Ukanishusha na hadhi Ukanikosea heshima Labda nikuweke wazi Muda wa kupoteza sina Ushamwaga maji Yamenisomba na shina, ayee Siwezi ng'ang'ania bango Kuishi na wewe ka mapambo Mimi natia nia unatania eiye yeah, yeah Hasira hasara Kupenda sana ukaninyanyapaa Nami nikaona haina maana Nikajitoa unataka rudiana Mbona kwangu mi? Haina haja, haina haja Aah nishamaliza, haina haja Mbona kwangu basi, haina haja