Give It To Me

Give It To Me 歌詞

ジャンルAfrobeats
原文言語SW
閲覧数6
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Zile Gucci Fendi, mimi sina-aga Ku-have fan na my friend kula baga Kutoka mpaka weekend Bila hela hamna-ga Mtu wa mambo mengi sipendi Akiona madada Heri uniminye kimya kimya Mimi cheza pita na dina sina Wali bei nije china mimi sina-ga Hizo ni za akina Lina Give to me, give to me (Labda unionjeshe) Give to me (nipe na tena) Give to me (nikopeshe) Give to me (nimpe zaidi ya jana) Give to me, give to me, give to me Nipime nione temperature Kama elimu ni lecture Huwezi kushindwa na necta Baby shuka mpaka ikweta Sex Diva (ah.. Aah) Diva Diva. Unanimaliza Kwa shoot na dana dana Mchezo wa kamari mapenzi Usinicheze (eeehee) Usiyadanganye mapenzi kisa pete Heri uniminye kimya kimya Mimi cheza pita na dina sina Wali bei nije china mi sina-ga Hizo ni za akina Lina Give to me, give to me (Labda unionjeshe) Give to me (nipe na tena) Give to me (nikopeshe) Give to me (nimpe zaidi ya jana) Give to me, give to me, give to me Tamutamutamu, Tamutamutamu Niongeze tena Tena (tenaa) Nipe na tena (tenaa) Tena Kachiri saga nyie (aha) Acha nipaliwee (aha) Nishajipanga mie (aha) Kuti ni kalie (aha) Heri uniminye kimya kimya Mimi cheza pita na dina sina Wali bei nije china mimi sina-ga Hizo ni za akina Lina Sex Diva (ah, ah), Diva Diva Unanimaliza Kwa shoot na dana dana Give to me, give to me (Labda unionjeshe) Give to me (nipe na tena) Give to me (nikopeshe) Give to me (nimpe zaidi ya jana) Give to me, give to me, give to me