Niuwe

Niuwe 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数12
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Wasafi Ana shepu buffalo Mwendo kama hakanyagi chini Ah hakanyagi chini) Jonjo kangaroo Kafungasha dabo kibini Dabo kibini Anakula bia (ndembe) Kifuani ndondo (ndembe) Ikipata boda inanyange Akitembea (dembe dembe) Yaani kama (mzembe) Mambo yote mpambe Eeh okota Usiogope okota Eeh okota (Inama inama) Eeh okota Usiogope okota Eeh okota Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe Kanabinua binu Kanabinua mgongo Kanabinua binu Kanabinua mgongo Kiuno sakata, nizame topeni Nisafishe di mbwi mbwi Mtoto prakata, kiuno shanga, cheni Kisha uduu di mbwi mbwi Cheza nikuhonge verosi (aah verosi) Shaku shaku shogorosi (shogorosi) Uganda Maria rosa (aah rosa) Lagos dance makossa (dance makossa) Eeh okota Usiogope okota Eeh okota Inama inama Eeh okota Usiogope okota Eeh okota Fanya unachutama Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe Kanabinua binu Kanabinua mgongo Kanabinua binu Kanabinua mgongo Kanabinua binu Kanabinua mgongo Kanabinua binu Kanabinua mgongo