Siku Hazigandi

Siku Hazigandi 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数7
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Yote mlosema mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh mliosema aah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Aih! Nimesemwa sana, jamani! Hamchoki? (Yiih) Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmh mliosema, aah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri Hata nisiowategemea leo hii mmenigeuka Hata nilio waheshimu leo hii mnanihukumu Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mh mliosema, aah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti Sijali visa vyenu havifanani vya ukweli Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu Kunijua sana undani siwapi tena nafasi Ooh siku hazigandi, hata mseme mangapi Kila mtu Ana dhambi, hakuna alie msafi Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh mliosema, aah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona