Mzee Mandela

Mzee Mandela 歌詞

アルバムYa...
年1998
ジャンルPop
時間4:35
原文言語SW
閲覧数712
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
ndani yangu ni raha na sorrow nikiwaziya baba myaka ishirini na saba ya sorrow kwa bahati mutu wa haki hana boga, ju ana kweli mbele ya silaha ukashimamiya uhuru Nelson Mandela mzee madiba baba yetu Nelson Mandela mzee madiba baba yetu damu ya wana wa South Africa hayikumwangika bure ata kama makumbuko yako ana sorrow pole pole baba watu wanajifunza ku kaa pamoja Nelson Mandela mzee madiba baba yetu Nelson ,Nelson Mandela mzee madiba baba yetu...