Mdogo Mdogo

Mdogo Mdogo 歌詞

ジャンルHip Hop Rap
時間4:23
原文言語SW
閲覧数392
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Nimetembea tembea bara na visiwani Ila nikajionea we ndio my number one Natamani nikupe ila sina Nimejaliwa upendo heshima Maneno yao matamu yasikuibe mama Si unajua binadamu wabaya sana Wanawivu hao (hao hao) Wachonganishi hao (hao hao) Wanawivu hao (hao hao) Wachonganishi hao (hao hao) Usije niacha kwa unyonge nachechemea Utamu wa finyango na tonge ukanielemea Usije niacha kwa Unyonge nachechemea Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu Mwendaazimu kaingiaje Asije kitorondo Mwendaazimu kaingiaje Akanikatia na uhondo Mwendaazimu kaingiaje Kitorondo kitorondo eeh Mwendaazimu kaingiaje Ikinasa mpaka uondoe Mwendaazimu kaingiaje Mwendaazimu kaingiaje (Ikawa nyumba ya shetani) Mwendaazimu kaingiaje Kidogo nikileta Mumypti usinune Nikumbatie unikiss nijivune Kesho nizidishe ufanisi nijitumee Tujenge hadi nyumba Paris wanunee Vimichezomichezo vya saloon chunga wakipanga Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga Ukaanza safari Mchana jua kali Usiku haulali ayaah Ukaanza safari Mchana jua kali Usiku haulali ayaah Wanawivu hao (hao hao) Wachonganishi hao (hao hao) Wanawivu hao (hao hao) Wachonganishi hao (hao hao) Ukaanza safari, mchana juakali, usiku haulali ah yaya.! Mwendaazimu kaingiaje Asije akitorondo Mwendaazimu kaingiaje Akanikatia na uhondo Mwendaazimu kaingiaje Kitorondo Kitorondo eeh Mwendaazimu kaingiaje Ikinasa mpaka uondoe Mwendaazimu kaingiaje Mwendaazimu kaingiaje (Ikawa nyumba ya shetani) Mwendaazimu kaingiaje Mdogomdogo Mdogomdogo (isijali mama) Mdogomdogo (we wacha waongee) Mdogomdogo (usiku na mchana) Mdogomdogo (mpaka wanyongee) Mdogomdogo (na ntakupenda sana) Mdogomdogo (mahaba ninyongee) Mdogomdogo (sijali lawama) Mdogomdogo (acha wanizonge) Mdogomdogo (kachirikachiri) Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu) Mdogomdogo (mwenzako taabani) Mdogomdogo (nilindie roho yangu) Mdogomdogo (wasije wa furani) Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu) Mwenda wazimu kaingiaje Mwenda wazimu kaingiaje Mwenda wazimu kaingiaje Mwenda wazimu kaingiaje Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo) Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo) Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo) Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)