Kwanini

Kwanini 歌詞

ジャンルHip Hop Rap
原文言語SW
閲覧数7
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Usinione nalia, moyoni naumia Kila siku maugomvi, unanukia mabia Ina maana unataka useme umuhimu wangu hautambui Thamani ya mapenzi ndo imegeuka kuwa adui Nikakuimbia nyimbo bado Nikakupa moyo bado Nikakupa life na true love ila baby bado Nimekuimbia nyimbo bado Nikakupa moyo bado Nikakupa life na true love ila baby bado Ukose raha Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Nishachoshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Mara leo limekwisha hili Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine Choshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Leo limekwisha hili, kesho lingine You just don’t know naumia umia umia umia umia You don’t know naumia umia umia umia umia Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe