Inauma

Inauma 歌詞

ジャンルRegional
原文言語SW
閲覧数7
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Kukosana na wewe, sikutarajia Kuwa mbali na wewe, aki umeniacha pabaya Kutengana na wewe, imenibadilisha sana Nimetamani nilewe, aki nakunywa nasazamana Naambia nini watu Regina? Haya mapenzi yalinoga Nakumbuka tulipeana majina Leo baby, kesho tomato Mitandao ikaleta vitina Ukawa huambiliki Nami kichwa changu na kikavimba Nikawasisemezeki Inauma inauma lakini n'tazoea Inauma inauma lakini n'tazoea Hali ya mwanaume duniani nikuzoea Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa Densi oh densi, densi tulikamata hadi usiku wa manane, ayy Kesi oh kesi, kesi tukakubali tutapendana milele Nyimbo nyimbo, nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe Kamisi oh kamisi, kamisi na baika uliwacha nanusanga ndio nilale Oh yoyo Nitaambia nini watu Regina Haya mapenzi yalinoga Nakumbuka tukilabata na bia Party aftеr party Shetani gani alituingilia? Akatuweka asander Ilovito pahali imеnifikisha I'll never love another Like, inauma inauma lakini n'tazoea Inauma inauma lakini n'tazoea Hali ya binadamu duniani nikuzoea Hali ya mwanaume duniani nikuzoea, ndio nashindwa Inauma inauma lakini n'tazoea Inauma inauma lakini n'tazoea Hali ya binadamu duniani nikuzoea Hali ya mwanaume duniani nikuzoea, ndio nashindwa