Chuki

Chuki 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数5
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Olalalala Maadui Wamenizidi pesa na umri Nashangaa Sijui au tuseme nina kiburi Nakataa Hawanidai siwadai Ila nashangaa wananichukia aah Chuki zisizo sababu Wana kinyambuzi kafara Ili Aslay apotee Ona wanavyo mwaga hela Eeh Mungu baba unitetee Wanamiliki mavogi vogi Wanashindana na mi-Dangote Wanawish hata niishiwe kodi Nitange tange wanizomee Mi mnyonge Nimlilie nani kama si wewe? Kisa tonge Wanapangia waniondoe Ila mi najikaza hivyo Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo Mi najikaza hivyo Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo (Wanasema nalewa) Mi najikaza hivyo Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo Mi najikaza hivyo Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo (Eti Aslay kaishiwa) Mapumbu saba Ridhiki unagawa tu maanani Wengine labda Wanataka kushindana na wewe Mmh mpaka napiga magoti (magoti) Namlilia mama (mama) Kisha narudi kwako Umlaze salama Sawa nyinyi manoti noti Tutakutana kiama Mnyonge narudi kwako Kwako Maulana Wana kinyambuzi kafara Ili Aslay apotee Ona wanavyo mwaga hela Eeh Mungu baba unitetee Wanamiliki mavogi vogi Wanashindana na mi-Dangote Wanawish hata niishiwe kodi Nitange tange wanizomee Mi mnyonge Nimlilie nani kama si wewe? Kisa tonge Wanapangia waniondoe Ila mi najikaza hivyo Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo Mi najikaza hivyo Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo (Wanasema nalewa)