Niko Poa

Niko Poa 歌詞

ジャンルRegional
原文言語SW
閲覧数4
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Poa poa, sawa sawa Poa poa, sawa kabisa Mara ya kwanza ulipo ni wacha Nili dhani nita fariki Ulipo rudi hata siku sita Nika ku karibisha tena Wangu moyo ka vunja vunja Mara ya pili ka nenda tena Ika pita mda akaja (Akanipa penzi tamu) Kama asali Anishika mkono Nime tosheka My baby loves me right Mimi niko (poa poa) Mumu yaku (sawa sawa) Mimi niko (poa poa) Mumu yaku (sawa kabisa) Nilikua nisha zoea Madharau na zako vituko Uli dhani sito banduka Lako kosa bwana sasa wa juta Unaye muendea Usi dhani ni tofauti Usije uka danganyika Kila binti ataka penzi tamu Kama asali Ashikwe mkono Na atosheke So you better love her right Mimi niko (poa poa) Mumu yaku (sawa sawa) Mimi niko (poa poa) Mumu yaku (sawa kabisa) Mara kadhaa, nime ji uliza Kama ntaja mpenda Nilivyo kupenda, wewe Bu I can tell By the way he treats me That love is on its way And babe I'll be here waiting I will be waiting Nita suburi, uki ni ahidi Uta ji tahidi (Uta ji tahidi) Niko poa! Yaku sowa Mimi niko (poa poa) Mumu yaku (sawa sawa) Mimi niko (poa poa) Mumu yaku (sawa kabisa)