Mubashara

Mubashara 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数2
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Ooh, ooh (Sawa) Hisia kama mikuki zanichoma Ndo maana kila time nakuwaza wewe Kwa mahaba nayopata nahisi mpaka homa Sichoki me kukesha nawe Love more, love more Love more iyee Wapambe waache waongee Usiku watalala Na waambie wenye wivu Maneno yasizidi mpaka Mmh mapenzi mubashara Mapenzi mubashara Zidisha leo zaidi ya jana (Zidisha leo zaidi ya jana) Mapenzi mubashara Mapenzi mubashara Nikomeshe leo nisipate la kusema (La kusema aah) Niroge kwa limbwata mpaka nipagawe Ila tu nisiokote makopo Zidisha kipimo unachokiona wewe Kwako me ni kama mtoto Mama, toa jiko nje nipikee Aah nikimaliza vyombo nioshe Tena sogeza kichwa nywele nikusukee (beiby) Na tukimaliza twende bafu nikakuogeshee Mmh mapenzi mubashara Mapenzi mubashara Zidisha leo zaidi ya jana (Zidisha leo zaidi ya jana) Mapenzi mubashara Mapenzi mubashara Nikomeshe leo nisipate la kusema (Nikomeshe leo nisipate la kusemala kusema aah) Aah nipate la kusema, mimi iyee Nipate la kusema, beiby Na mapenzi mubashara (Nipate la kusema) Mapenzi mubashara (Nami nipate la kusema) Single forever classic