King'aunga'au

Testo di King'aunga'au

GenereAfrobeats
Lingua originaleSW
Visualizzazioni4
Coordinate del testo

Testo originale

SW
Traduzione non ancora disponibile. Mostriamo il testo originale.
18
Nilikupa jezi uwanjani unacheza wonder Umenipa ndizi nitafune nimemeza ganda Mapigo huenda mbio yaani shuka panda Nakupa vyeo beiby we kamanda Hufanani na wanuka jasho, wafuatisha usemacho Wanipa kile ambacho mie napenda (napenda) Nimeridhika na ulichonacho, tukikosa sangara na sato Twapika nguna kwa dagaa (mirenda) Ni wewe tu, wewe tu Wangu mtima ni wewe Ni wewe tu, wewe tu Wangu mtima ni wewe Aah king'aunga'au, king'aunga'au King'aunga'au, king'aunga'au Aah king'aunga'au, king'aunga'au Kikia cha pweza king'aunga'au Meli ishatia nanga twende Zanzibar Panapo upepo wa bahari uko shwari mwanana Next time twajichanga pipa Madiba Mambo ng'ari ng'ari tena twazidi fanana Nikupe uroda wote wote (aah uroda wote wote) Kisha tucheze lote lote (lote lote) Aah lote lote (lote lote) Ni wewe tu, wewe tu Wangu mtima ni wewe Ni wewe tu, wewe tu Wangu mtima ni wewe Aah king'aunga'au, king'aunga'au King'aunga'au, king'aunga'au Aah king'aunga'au, king'aunga'au Kikia cha pweza king'aunga'au