Ha-He

Paroles de Ha-He

GenreDance
Langue originaleSW
Vues4
Coordonnées des paroles

Paroles originales

SW
Traduction indisponible. Les paroles originales sont affichées.
18
Microphone check one, one two (Musyoka) Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare Mi si mnati, si Barbie, niko tu katikati Staki kuskiza story za charity, charity Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity Sema oh Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya Serikali haijali So naona mbwa kali afadhali Dame amejam juu dough haikam Na siwezi kum-show ati life ni exam juu Ntatupiwa sufuria Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi So nikikupita tao, tao Jua sio madharau-rau Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya Nipe, nipe nafasi Nikueleze kiasi Vile sisi hufanya Pande hii ya the tracks Hatuchezi na kazi Usipoteze wakati Tumekunja mashati Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya Nipe, nipe nafasi Nikueleze kiasi Vile sisi hufanya Pande hii ya the tracks Nipe, nipe nafasi Nikueleze kiasi Vile sisi hufanya Pande hii ya the tracks