Nyota

Paroles de Nyota

GenrePop
Langue originaleSW
Vues6
Coordonnées des paroles

Paroles originales

SW
Traduction indisponible. Les paroles originales sont affichées.
18
Lugende lamu Nikitafuta nyota aisee Mutema wangu Mukachoma sana aisee Lugende lamu Nikitafuta nyota aisee Mutema wangu Mukachoma sana Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai Kwako me nang'ah sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh Kwako me nang'ah sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh Messiah ninavyo kuimbia Si eti napendalia Laiti wangelijua Mbali ulikonitoa Ninavyo kuimbia, aha ahaa Wangelijua, aha ahaa Zile time za primo Kaptula mashimo Umenifanya ngumzo Imekuwa ndo sivyo Zile time za primo Kaptula mashimo Umenifanya ngumzo Imekuwa ndo sivyo Wewe ndiye nyota Kwako me nang'ah sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi star baba Wewe ni nyota eeh Kwako me nang'ah sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi star baba Wewe ni nyota eeh Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai Kwako me nang'ah sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh Kwako me nang'ah sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh Ulifanya nang'ah Ulinifanya mi star Kwa yote wewe ni nyota eeh Wewe ni nyota eeh Wewe ndiye star Wewe ni nyota eeh