Neema

Letra de Neema

Idioma originalSW
Vistas175
Coordenadas de la letra

Letra original

SW
La traducción todavía no está disponible. Mostramos la letra original.
18
Nimezaliwa katika familiya Iliyo zalauliwa sana Maisha magumu sana hayo Ndio Nimepitiya Nilithamani sana kujiua lakini Habikuwezekani Matajiri waliponiona Wakauliza mtoto huyu ni wanani Waliniceka Nilicekelewa sana Nami nilikuwa naona walikuwa Na Sababu Ulikubali ukamuaga Damu yako Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure Muanadamu mwenye dhambi Oh, oh Neema yako Niliona Neema Yako na Upendo ni ya ajabu Asante kwa Damu yako imeniokowa Sijui niseme nini mbere zako baba Asante kwa yote olionitendeya Njaa kiwu na machozi Huzuni, kuhukumiwa na wengi Na majaribu mengi Hapo ndipo, umunitoa ukanipandisha Historiya yangu yote ikabadilika Bila wewe baba Mimi ningekuwa wapi Bila upendo wako ningekuwa mbari Bira wema na fadhili zako Baba ningekufia gizani Ulikubali ukamuaga Damu yako Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure Muanadamu mwenye dhambi Oh, oh Neema yako Niliona Neema Yako Na Upendo ni ya ajabu Asante kwa Damu yako imeniokowa Sijui niseme nini mbere zako baba Asante kwa yote olionitendeya