Safari (feat. Saida Karoli)

Letra de Safari (feat. Saida Karoli)

GéneroPop
Idioma originalSW
Vistas4
Coordenadas de la letra

Letra original

SW
La traducción todavía no está disponible. Mostramos la letra original.
18
Oh garuko garuko garuke Oh garuke mwana wange Oh garuko garuko garuke Oh garuke mwana wange Ayee balindi niwe wanyu Balindi niwe wanyu Balindi niwe wanyu Na marefu umepita mwanangu Tangu umefunga safari yeah, yeah Kurudi nyumbani uje uone hali yangu Nakosa chumvi sukari yeah, yeah Kila siku nakonda kufikiria sembe Wapi nitapata mboga familia iende Baba yako mgonjwa hashiki hata jembe Kutoka '91 sina kipya kitenge Kafukuzwa shuleni, mdogo wako Jane Na mengine sisemi maiyoo Sikai sebuleni nikiona wageni Nakimbia madeni maiyoo Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Heshima yako mama Hukuwa pole na baba Mambo yatakuwa sawa Sipendi ukilalama Kazi zimenijaa Nahustle kupata chapaa Nitakuja na pesa nyumbani Sahau kuhusu dagaa Si unapendaga pete na chain Nitaleta za Gold Mwambie mdogo wangu Jane Nitampeleka boarding Nitakujengea nyumba bondeni Uache kulipa kodi Nitakulipia yote madeni Usigongewe hodi Mwambie baba asijali Atapona tutaenda hospitali Asilie atakuwa shwari Siku yake ya birthday nitampa gari Machozi yanilenga Siku zinakwenda mama Sala zenu wapendwa Ndo zitanijenga sana Sijawatenga sikupigi kalenda mama Mungu akipenda yote nitatenda mama Naomba unisubiri nyumbani Nitarudi mama mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama