Ikamate Hiyo

Letra de Ikamate Hiyo

GéneroPop
Idioma originalSW
Vistas3
Coordenadas de la letra

Letra original

SW
La traducción todavía no está disponible. Mostramos la letra original.
18
Tamu kama embe dodo Nitakupa mpaka uzirai Hili penzi si la kitoto Utabaki umelikubali Taratibu bwana mkunaji Leo nashake ki Nicki Minaji Njoo uniongezee Ikamate usilegezee Nauliza niongezee Ikamate usilegezee Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama umependa ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) Zama ndani gizani baba Mwiba wa kujitia huna pole Wewe ni mustarabu kaka Ikamate mpaka ipoe Vile unacheki unamarinate I am the tavern utarelate Come let give you likkle taste Later me and you participate Njoo uniongezee Ikamate usilegezee Nauliza niongezee Ikamate usilegezee Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama umependa ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo Vile unacheki unamarinate I am the tavern utarelate Come let give you likkle taste Later me and you participate Njoo uniongezee (uniongezee) Ukitaka ikamate (iyo iyo iyo) Ikamate hiyo, Ikamate Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama umependa ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo