Mimi Na Wewe

Letra de Mimi Na Wewe

GéneroPop
Idioma originalSW
Vistas22
Coordenadas de la letra

Letra original

SW
La traducción todavía no está disponible. Mostramos la letra original.
18
Ooh, ooh Yeah, eeh Sema, mtoto mrembo na lace kiunoni Wema, huo wako uliojaza moyoni Tena, how you love me Siwezi eleza mama, aah Siwezi eleza mama, aah Umeniteka ndio maana sitaki kwenda Ndicho kitu sitaki kutenda, hela Tupate tukose mi nitakupenda Umeniweza ndio maana nasemaa Ukienda, nitaenda aah aah Ukisonga, nitasonga aah aah Ukienda, nitaenda aah aah Ukisonga, nitasonga aah Mimi na wewe, na wewe eh Mimi na wewe, na wewe eh yeah Najua baby, tukitoa mali kwenye hesabu (ooh) Tutajipata, upendo wetu bado unang'aa, unasimama Mtoto mzuri tazama, tazama Tazama wanifanya ninawaza Na tena tabasamu inang'aa Fahamu jinsi mimi wanifaa Mtoto mzuri tazama, tazama Tazama wanifanya ninawaza Na tena tabasamu inang'aa Fahamu jinsi mimi wanifaa Ukienda, nitaenda aah aah Ukisonga, nitasonga aah aah Ukienda, nitaenda aah aah Ukisonga, nitasonga aah Mimi na wewe, na wewe eh Mimi na wewe, na wewe eh yeah Baby, nahitaji niwe kando yako (kando yako) Maana wanipaa furaha ya moyo (ooh) Tabia na urembo pia wa kupindukia yanikamilisha baby Mimi na wewe, na wewe eh Mimi na wewe, na wewe eh yeah Eeh, yeah Mimi na wewe Mimi na we, Mimi na we Mimi na Wewe, baby Yeah, yeah, yeah