Sio Levo Yako

Letra de Sio Levo Yako

Idioma originalSW
Vistas25
Coordenadas de la letra

Letra original

SW
La traducción todavía no está disponible. Mostramos la letra original.
18
Bure mwapapatika maasidi, na wazushi niye Izo zenu heka heka mimi hazinikondeshi mie Majungu mnayopika yanapita kama moshi mie Mimi nimekamilika Kwangu mie hamnitoshi nyie Naringia fungu langu alilonipa maanani mie Kama mwaona uchungu pandeni ngazi mkazibe nyiee Wanikera bure wanikera bure Namie sio levo yako nasemaa Oyaya ayee Wanikera bure wanikera bure Namie sio levo yako nasemaa Oyaya ayee Ati Nileweeh nipeni pombe nilewee nileewee Kisha nifunge Mkaja nikaucheze msewee Asidi wa rolo yangu ninamjua mwenyewee Nilewee nipeni pombe nilewee Kisha nifunge Mkaja nikaucheze msewee Asidi wa rolo yangu ninamjua mwenyewee Asidi wa rolo yangu ninamjua mwenyewee Mimi yote nafaham nyie kila mliokusudia Mwafanya juu chini mambo mimi kuniharibia Mimi kufanikiwa wazi roho zenu zaumia Nyie wapishi wa sumu pikeni nami nakuja chochea Amenifanya tofauti vikuto vyenu sita umia Wanikera bure wanikera bure Namie sio levo yako nasemaa Oyaya ayee Wanikera bure wanikera bure Namie sio levo yako nasemaa Oyaya ayee Ati Nileweeeh nipeni pombe nileweee nileewee Kisha nifunge Mkaja nikaucheze msewee Asidi wa rolo yangu ninamjua mwenyewee Nilewee nipeni pombe nilewee Kisha nifunge Mkaja nikaucheze msewee Asidi wa rolo yangu ninamjua mwenyewee Asidi wa rolo yangu ninamjua mwenyewee Wanita midomoni nilicho wakosea mi nini Kutwa kucha vikaoni naminaomba nijulisheni Mbio zenu za sakafuni zitaishia ukingoni Alienipa manani wakunizuia nani Si levo yako (mimi) Si levo yako (ooh mimi) Si levo yako (mimi) Si levo yako