Twende (feat. Barnaba)

Letra de Twende (feat. Barnaba)

GéneroRb
Idioma originalSW
Vistas6
Coordenadas de la letra

Letra original

SW
La traducción todavía no está disponible. Mostramos la letra original.
18
Moja moja mimi nawe Mpaka kule tunakotaka tufike Kama vihoja kupigwa mawe Vimeshafanywa nusura tukomoke Kisoja soja tubebane Zamu zamu tunakoenda tufike Vigorogoja vizozane Hamu hamu yakutuponda itoke, yeah Nimeridhishwa na penzi lako mama (mama) Japo vichenji chenji vyetu ni vya ngama (ngama) Uzuri ni kitu gani? Tabia ndo inamata na ujuzi ndani, yeah, yeah Kwani kuna shida gani? Kukumbata mtoto mwenye milki uwani, ooh Nimeridhishwa na penzi lako mamaa (mama) Japo vichenji chenji vyetu ni vya ngama Oh, baby, twende! Mimi nawe, twende! Usigeuke nyuma, twende! Mm oh, baby, twende! Oh, baby, twende! Mimi nawe, twende! Usigeuke nyuma, twende! Hata wakikushikaaa, twende! Njugu karanga (follow me follow me) Sindimba au vanga (follow me follow me) Ona vya vyanga (follow me follow me) Nishike bega twende sambamba (follow me follow me) Kifua saa sita magarita haujaniita naitika baby Baby aah Uzuri ni kitu gani? Tabia ndo inamata na ujuzi ndani Ooh Kwani kuna shida gani? Kukumbata mtoto mwenye milki uwani Ooh Nimeridhishwa na penzi lako mamaa (mama) Japo vichenji chenji vyetu ni vya ngama Oh, baby, twende! Mimi nawe, twende! Usigeuke nyuma, twende! Mm oh, baby, twende! Oh, baby, twende! Mimi nawe, twende! Usigeuke nyuma, twende! Hata wakikushikaaa, twende! Inamia dah This is Barnaba Boy Classic With my boy Foby Internationally Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah Yeah, yeah, yeah Dream big Aiyaa aiya