Sudan (part. Idd Aziz)

Songtext von Sudan (part. Idd Aziz)

AlbumUmoja
Jahr2020
Dauer3:50
OriginalspracheEnglisch
Aufrufe209
Songtext-Koordinaten

Originaltext

EN
Noch keine Übersetzung verfügbar. Der Originaltext wird angezeigt.
18
Eh Sudani Sudan oh Sudan Kweli Sudan Ume kosea nini Wewe ndugu na yule ni dadako Rangi ni moja na damu ni moja Vita ni vya nini na yule jirani Mbona nyinyi nyote mwakoseana Chuki ya nini na huyu mwenzako Uache vita kweli is noti good Wallahi nyie mnatesana Oh Sudan oh Sudani Sudan (Oh Sudan) Wacha vita mama Eh Sudani Sudan tulia tulia Usidanganywe na hawa ma Babylon Ukaanza kumaliza we wenzako Utajuta vile we utabaki alone Utalia machozi ya mulala hoi Shikaneni mikono Muwe nyote pamoja Wallahi Wacha vita mama Tushikane mikono tuwe pamoja Oh Sudan oh Sudani Sudan (Oh Sudan) Wacha vita mama Sudani Sudan tulia tulia