Itakuwaje (feat. Ali Kiba)

Songtext von Itakuwaje (feat. Ali Kiba)

GenrePop
OriginalspracheSW
Aufrufe2
Songtext-Koordinaten

Originaltext

SW
Noch keine Übersetzung verfügbar. Der Originaltext wird angezeigt.
18
MAUA Sama Yeah Gini x66 Nilisema sitopenda, nimependaa Pendaa tena, aah (aah) Sasa nimeshatekwaa, mi nimetekwaa Oh, tekwa tena Yani kama njiwa tunapepea wawili Mi na yeye, hatuna kitendawili Nanenepa jamani, si kwa penzi hili Nisipomwona, mi navurugwa akili Mi nawaza, akiniacha Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Mi nawaza, akiniacha Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Maapenzi anayonipa Sitomwacha hata aniache katakata Kwa gari nimeshafika Sitoshuka hata anishushe katakata Kama njiwa tunapepea wawili Mi na yeye, hatuna kitendawili Nanenepa jamani, si kwa penzi hili Nisipomwona, mi navurugwa akili Mi nawaza, akiniacha (uanze wewe? Saa itakuwaje?) Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Mi nawaza, akiniacha (uanze wewe au mimi?) Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Mi nawaza, akiniacha Aa saa itakuwaje, beibeeii?