Mama Mkwe

Songtext von Mama Mkwe

GenrePop
OriginalspracheSW
Aufrufe2
Songtext-Koordinaten

Originaltext

SW
Noch keine Übersetzung verfügbar. Der Originaltext wird angezeigt.
18
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya uhai Tunasherekea hakuna anayetudai Na mliotabiri Hayawi ngoja niwasabahi Ndoa inanisitiri, haki ya Mungu Wallah Ooh Mama, mzaa chema Umetisha wewe eh, eeh Kama Sio Juhudi zako Ningempata wapi huyu my bebe? Aah aaiyaah Ooh Mamaa, mzaa chema Umetisha wewe Kama sio malezi yako Ningemtolea wapu huyu my bebe? Ooh, ooh! Wewe Mama Mkwe! Umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! Umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! Umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! Umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Allahamdullilah tumevalishana pete Baridi la ubachela hali ilikua tete Mkwe umenikabidhi mwanao, aje anitetee Niachane na Upweke, we ndo kabari yao Ooh Mama, mzaa chema Umetisha wewe eh, eeh Kama Sio Juhudi zako Ningempata wapi huyu my bebe? Aah aaiyaah Ooh Mamaa, mzaa chema Umetisha wewe Kama sio malezi yako Ningemtolea wapu huyu my bebe? Ooh, ooh! Wewe Mama Mkwe! Umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! Umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! Umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! Umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha