Mwana Wa Mama

Songtext von Mwana Wa Mama

Jahr1992
GenrePop
Dauer4:01
OriginalspracheSW
Aufrufe434
Songtext-Koordinaten

Originaltext

SW
Noch keine Übersetzung verfügbar. Der Originaltext wird angezeigt.
18
We mwana wa mama Tunapata haya Mbele ya duniya wandugu Kweli tumetubiya Ju tumerudi ku uwana tena wandugu Tabu ule utamwambiya nini ? Damu ya wake umemwanga bule Waca liya Usiwa ace vile Uwambiye Wambiye inchi ni ya siye wote Mungu akijaliya Mbele yo duniya Tutapata namna wandugu Ata ukiumiya Jaribu tena ju fitina hayisayidiye Tabu ule utamwambiya nini ? Ju ni damu ya wake umemwanga bule