Kijiti

كلمات Kijiti

النوعRegional
اللغة الأصليةSW
المشاهدات4
إحداثيات كلمات الأغنية

الكلمات الأصلية

SW
الترجمة غير متاحة بعد. نعرض الكلمات الأصلية.
18
Tazameni, tazameni, alivyofaanya Kijiti Tazameni, tazameni, alivyofaanya Kijiti Kumchukua mgeni, kumchezesha foloki Kumchukua mgeni, kumchezesha foloki K′enda nae Maguguni, kamrejesha maiti K'enda nae Maguguni, kamrejesha maiti Kamrejesha maiti, kamrejesha maiti Kamrejesha maiti, kamrejesha maiti K′enda nae Maguguni, kamrejesha maiti K'enda nae Maguguni, kamrejesha maiti Kijiti alin'ambia ondoka mama twenende Kijiti alin′ambia ondoka mama twenende Laiti ningelijua, ningekataa nisiende Laiti ningelijua, ningekataa nisiende Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende Kwa pegi moja ya tende, kwa pegi moja ya tende Kwa pegi moja ya tende, kwa pegi moja ya tende Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende Jagiene akasirika, kitini alipoketi (ah) Jagiene akasirika, kitini alipoketi Kasema: Blood fool, mashaidi wa Kijiti Kasema: Blood fool, mashaidi wa Kijiti N′takufunga Suma Idd na KBT Subeti N'takufunga Suma Idd na KBT Subeti Na KBT Subeti, na KBT Subeti Na KBT Subeti, na KBT Subeti N′takufunga Suma Idd na KBT Subeti N'takufunga Suma Idd na KBT Subeti (ah, hey)
المزيد من Bi Kidude

المزيد من Bi Kidude

Bi Kidude →